MAMBO MAGUMU KWA BRUNO
BRUNO GOMES NGOMA NGUMU
.
Kiungo Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate FC, Bruno Gomes mambo yamekuwa magumu kutua Msimbazi. Nyota huyo raia wa Brazil 🇧🇷 kwa sasa yuko kwao kwa ajili ya Mapumziko, amewekewa ngumu kujiunga na Simba baada ya Kigogo mmoja kuzuia usajili wake kwa Wekundu wa Msimbazi ambao wamepania kurejesha Heshima.
.
Bruno ni pendekezo la Kocha Robertinho ambaye aliwaambia vigogo wa Simba anamtaka ili akasaidiane na fundi Clatous Chama, Said Ntibazonkiza na Mzamiru Yassin katika eneo la kiungo.

Comments
Post a Comment