MADEE ATANGAZA KUACHA MUZIKI
Mkurugenzi wa TIPTOP CONNECTION maarufu kama MADEE ameacha maswali mengi sana kwa mashabiki zake baada ya post yake huko Instagram akisema "SITAKI MUZIKI" kumbe hili ni jina la wimbo wake mpya ambao ameutoa wiki hii unaokwenda kwa jina la SITAKI MUZIKI utazame hapa kupitia YouTube yake bwana MADEE;

Comments
Post a Comment