LUIS NA SIMBA NI MAJONZI
✍🏻 Mazungumzo kati ya Simba na Al Ahly kuhusu Simba kuipata saini ya Luis yalishafanyika na Simba wapo katika hatua za kujitoa kwenye mbio za kumsajili Luis Miquissone.
✍🏻 Simba hawapo tayari kulipa USD 270,000 kwa Al Ahly kuipata saini ya Luis.

Comments
Post a Comment