Baada ya ukimya wa mda kidogo star kutoka Wasafi WCB LAVA LAVA ametuletea wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la TAJIRI na hii ni Ofgicial Lyric ya wimbo wake mpya TAJIRI
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment