KUHUSU MICHANGO KWA FEI

 Mchezaji Feisal Salum amesema pesa ambazo alichangiwa na Watanzania ili kumuwezesha kwenda Mahakama ya CAS atazigawa Msikitini, Kanisani na kwenye Vituo vya Watoto Yatima kwani itakuwa ngumu kuzirudisha kwa Watu waliomchangia “pesa sijui nani alitoa nani ambaye hajatoa, Watu wasiwe na wasiwasi hii sio haki yangu ni haki yao na siwezi kurudisha kama ilivyotumwa”



Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI