KUHUSU KYOMBO
Kuhusu kyombo kuagana na Simba limefikia pazuri baada ya makubaliano kutoka pande zote mbili hivyo basi atatangazwa mda wowote kuanzia hivi sasa
Kuhusu Kennedy na bocco pia majadiliano yanaendelea lakini uongozi upo kwenye pande mbili wapo wanao kataa na wapo wanaokubali licha kuwa bado hawajafikia muafaka ina maana wakati wowote pia tutajua mwisho wake

Comments
Post a Comment