KOCHA NASREDDINE NABI :

 



.

“Hakuna kocha ambaye ataamua kumweka nje Morrison kwa kipaji chake kama yuko sawa, watu wasidhani sisi makocha hatupendi kuona timu inashinda. Mimi sio kocha wa kumpa nafasi mchezaji kwa jina lake au presha ya nje ya Uwanja tofauti na kile anachonionyesha mazoezini.”

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI