KIPA WA BRAZIL KUTUA SIMBA

 

🚨 CAIQUE 🔜 SIMBA SC

.

Msimu ujao pale langoni Simba kitasimama chuma cha Kibrazil 🇧🇷 Caique Luiz Santos da Purificacao (25). Kama mipango itaenda sawa basi kipa huyo ndiye atakayechukua nafasi ya Aishi Manula ambaye vipimo vinaonyesha atachelewa kurejea uwanjani.

.

Caique alikuwa kipa namba moja wa kikosi cha Brazil wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 (Brazil U-20) mwaka 2016 na 2017.



Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI