KINACHOENDELEA KUHUSU ADEBAYOR
Wanasimba kinacho endelea mwamba amekubali kuitumikia Simba kwa mda wa miaka miwili .
Kwa asilimia 75 hadi mda huu mwamba ni mnayama kwa taarifa ambazo nimezipata hivi punde kilichobaki ni adebayor kumalizana na berkane maana anamkataba nao
Huwenda akaitumikia simba sc msimu unaokuja

Comments
Post a Comment