KIBU NA SIMBA
MWAMBA AMEONGEZA MKATABA
🤩
baada ya kufanya vzuri kibu Denis simba imefikia hatu ya kumpa miaka miwili tena kwaajili ya kuitumia simba sc
Wakati huo Kennedy ameomba kuondoka simba na shaomari kapombe yuko mbioni kuongeza mkataba wake
Wanasimba hii vipi??

Comments
Post a Comment