FEISAL YULEEE
Wanamichezo na wapenz wa feisali baada ya kukaa jana kwenye kikao cha mfa mfupi wamekubaliana kwamba kuanzia jana ile Feisal ni mchezaji huru .
Hivyo tutarajie kuona anaenda kuitumikia Azam fc kwa taarifa ambazo zipo wakati huu kama hakutakuwa na mbadiliko
Kumbka kule zanzibar wanaishi kwenye apartment moja ya kifahari inayomilikiwa na bakhressa
Hivyo uhakika bado hatujapata kwamba anakwenda Azam ila ni habari ambayo ipo mda huu atakwenda azam

Comments
Post a Comment