ERASTO NYONI NA SIMBA SC
🚨 ERASTO NYONI UPDATE
Mkongwe Erasto Nyoni amesaini kandarasi ya mwaka mmoja wa kuendelea kubaki kunako viunga vya msimbazi.
Kocha mkuu wa Simba Robertinho ndie aliependekeza kupewa mkataba kwa mkongwe huyo akisema ni mchezaji mwenye nidhamu kubwa atakuwa msaada kwa wachezaji wengine hivyo anataka kuendelea kufanya nae kazi.
#sportsnewsupdates💪

Comments
Post a Comment