Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Rayo Sports Willy Andre Onana 🇨🇲 amewasili LeoJijini Dar Es Salaam akiwa pamoja na wakala wake ili kukamilisha taratibu za kujiunga na Simba SC.
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment