CHIVAVIRO NA YANGA

 

🚨 Dili la mshambuliaji Ranga Chivaviro kutua Yanga limeshatibuliwa baada ya klabu ya Kaizer Chiefs inayomalizana na Kocha Nabi kumalizana naye juu kwa juu fasta. 

.

Chivaviro alikuwa anawindwa vikali na klabu mbili za Tanzania, Azam na Yanga lakini mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Tanzania ndio waliokuwa wakiongoza mbio za kuwania saini yake.

.

Taarifa za Uhakika kutoka klabu yake ya zamani ya Marumo Gallants ni kwamba tayari mshambuliaji huyo alishasaini mkataba wa awali wa miaka miwili na klabu ya Kaizer Chiefs.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI