CHE MALONE TRANSFER UPDATES 🚨 (Almost Deal Done)
Taarifa kutoka nchini Cameroon , Klabu ya Simba imekalisha usajili wa beki kutoka Klabu ya Corton Sport Che Malone (24) .
Vyanzo hivo vimeripoti kuwa Che Malone amesaini kandarasi ya miaka miwili ya kuitumikia Simba .

Comments
Post a Comment