BYE BYE MWAMBAAA
π¨ THANK YOU! FISTON MAYELE
.
Nipo hapa kuthibitisha straika hatari Fiston Kalala Mayele π¨π© hatocheza Yanga msimu ujao. Rasmi aliomba kuondoka Yanga mara baada ya mchezo wa nusu fainali ya CAFCC dhidi ya Marumo na msimamo wake ni kwenda kutafuta changamoto mpya akiwa na ofa kubwa mbili kutoka Saudia πΈπ¦ na Afrika Kusini.πΏπ¦

Comments
Post a Comment