BREAKING NEWS : YANGA YABISHA HODI TENA AL HILAL😳


 


Baada ya Yanga kufikia makubaliano na FABRICE Ngoma sasa wamehamishia nguvu kutaka kumsajili na Makabi Lilepo pia kutoka Al Hilal. 


Lilepo ambaye anahusishwa kutakiwa na Simba lakini inaelezwa kuwa Simba wapo taratibu sana kukamilisha dili hilo jambo ambalo Yanga wameingilia kati kukamilisha dili hilo.


MAKABI LILEPO yeye hajavunja mkataba kama FABRICE Ngoma hivyo Al Hilal wanataka kumtoa kwa Mkopo wa miezi 6 au mwaka mmoja lakini Yanga wameonyesha nia ya kumsajili moja kwa moja kwa kuvunja mkataba. 


Yanga wanaamini Lilepo anaendana na aina yao ya mpira jambo ambalo linawafanya kuweka nguvu kubwa kumpata kwaajili ya kuongeza nguvu katika kikosi chao.


#sportsnewsappdate💪

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI