BREAKING NEWS, AJARI!!
Mda huu kutoka Kilimanjaro Tanzania, Ajari ya basi kampuni ya osaka limegongana na gari ndogo aina ya Noah maeneo ya KIA(Kilimanjaro International Airport) na kusababisha msongamano mkubwa wa magari,
Katika ajari hio hakuna aliepoteza maisha katika gari zote mbili chanzo cha ajari ni mwendokasi wa gari zote mbili hivyo madreva walishindwa kuongoza magari hayo vizuri na kusababisha ajari ,tumekuwekea video hii hapa itazame;

Comments
Post a Comment