BANDA SIMBA SC

 

BANDA AOMBA CHAKE ASEPE

.

Winga Peter Banda 🇲🇼 anadaiwa kugoma kupelekwa kwa mkopo katika timu nyingine akitaka avunjiwe mkataba kama hayupo kwenye mipango ya klabu hiyo.

.

Awali ilielezwa Banda alikuwa akitakiwa na Azam FC, lakini dili hilo linadaiwa kufa kimya kimya baada ya kusajiliwa Msenegal, Djibril Sillah. Banda anashinikiza alipwe chake asepe kama hayupo kwenye mipango ya kocha Roberto Oliveira.


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI