AZAM WANAMTAKA BANDA
.
Haijamaliza! Saa chache baada ya kumalizana na Yanga na kumbeba kiungo Feisal Saluml iliyempa mkataba wa miaka mitatu, klabu ya Azam imehamia Msimbazi ikianza mazungumzo kumnyakua winga Peter Banda.
.
Azam imeanza mazungumzo na wawakilishi wa nyota huyo wa kimataifa wa Malawi 🇲🇼 mwenye miaka 22. Inaelezwa kwamba kwa hatua waliyofikia kuna uwezekano mkubwa Banda akavaa uzi wa Azam msimu ujao kutokana na Simba kuwa tayari kumuuza au kumtoa kwa mkopo kipindi hiki akiwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja.
Powered by @galsportbettingtz

Comments
Post a Comment