AMEONGEZA MKATABA
🚨H E R E T O S T A Y 🚨
Beki mahiri wa kulia, @chilambo20, atasalia kwenye klabu yetu hadi mwaka 2025, baada ya kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili.
@chilambo20 anamudu kutumia kwa ufasaha miguu yote miwili 'The Ambidextrous'.

Comments
Post a Comment