AJARI YAFUNGA BARABARA YA MOSHI ARUSHA ZAIDI YA NUSU SAA
Kutoka Kilimanjaro wilaya ya hai maeneo ya kwasadala asubuhi ya leo june2,2023 imètokea ajari ya gali kubwa aina ýa semi kupoteza muelekeo na kufunga barabara ya Moshi Arusha chanzo ni bodaboda aliekua akiokota samaki alizoziangusha katikati ya barabara na kutokujali kuwa barabara inatumika na watu wengi, hivyo dereva wa semi alipoteza muelekeo katika harakati za kumkwepa bodaboda huyo na kusababisha magali mengine kushindwa kuendelea na safari



Comments
Post a Comment