YANGA WAMEPATA BAHATI FAINALI NI RAHISI KWAO

 



Mwamuzi Jean-Jaques Ngambo Ndala kutoka DR. Congo ameteuliwa na CAF kuwa mwamuzi wa kati kwenye Mchezo wa kwanza wa Fainali ya CAFCC, Yanga SC dhidi ya USM Alger utakaochezwa Dar Es Salaam,


Jean-Jaques Ngambo Ndala ndiye alichezesha mchezo wa CAFCL, Simba SC dhidi ya RS Berkane kwa Mkapa March 13/2022,


Baada ya mchezo huo ambao RS Berkane walipoteza (1-0), Waarabu hao walienda kushitaki (CAF) kuwa mwamuzi huyo aliwabeba wenyeji Simba.


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI