YANGA HAIJATOBOA KWA MKAPA Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps - Sunday, May 28, 2023 KLABU ya Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wao USM Alger ya nchini Algeria baada ya kuokea kichapo cha mabao 2-1 kwenye mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.Licha Yanga kuutawala mchezo katika kipindi cha kwanza waliruhusu bao la mapema kupitia kwa mshambuliaji Aymen Mahious dakika ya 32 ya mchezo,bao ambalo liliwapeleka mpumziko USM Alger wakiwa mbele 1-0.Kipindi cha pili Yanga iliendelea kutengeneza nafasi nyingi kwaajili ya kusawazisha bao bila mafanikio hivyo kocha akalazimika kufanya mabadiliko ambayo yalizaa matunda kwa kuwaingiza baadhi ya wachezaji wakiwemo Morisson, Salum Aboubakar, Djuma Shaban na Lomalisa Mutambala ambapowaliweza kupata bao la kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wao Fiston Mayele, goli likitengenezwa na Morisson dakika ya 82.Baada ya Yanga kupata bao, USM Alger waliweza kuongeza bao dakika mbili mbele kupitia kwa nyota wao Islam Merili dakika ya 84 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
PACHA HATARI - Friday, April 28, 2023 . 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba). Read more
HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA TANZANIA LEO NOVEMBER 25,2023 - Friday, November 24, 2023 Karibu jiunge nasi kusoma habari kubwa za magazeti ya tanzania leo November 25,2023 kwa habari zaidi Tembelea website yetu ETHANMEDIA kila siku Read more
Comments
Post a Comment