YANGA WAMETUMA UJUMBE KWA SIMBA
Historia Imeandikwa. Ndivyo unaweza kusema baada ya klabu ya Yanga kuingia fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza ikiwa ugenini katika Uwanja wa Royal Bafokeng, mjini, Rustenburg nchini Afrika Kusini.
Kuna ujumbe hapo unatumwa kwa viongozi wa team zingne ndani ya Ligi kuu kwamba kufika kwenye hatua ambayo Yanga amefika inawezekana kama ukiamua kuweka pesa na kuitumia kutafta wachezaji wazuri
Yanga kuingia nusu fainali siyo kwamba ni kwa bahati mbaya hapana wameweka fedha nyingi kwa wale wachezaji hata kama wamecheza na team ndogo ambazo hazina historia kubwa africa na zingne ni mara ya kwanza kushiriki Yanga kama ataendelea na mwendo huu anaweza kuleta kombe hapa nyumbani

Comments
Post a Comment