WAPINZANI WA YANGA WAMEKATAZWA KUTUMIA SIMU
Rasmi klabu ya USM Alger ambayo ni wapinzani wa Yanga Sc kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho Afrika, wameingia kambini leo hii kujiandaa na mchezo hiyo miwili ya Fainali
Klabu hiyo imewakataza wachezaji wao kutoingia mtandaoni hasa kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter na mengine, huku wakikatazwa pia kutofanya mahojiano yoyote hadi mechi hizo mbili za Fainali zitakapo malizika

Comments
Post a Comment