WAMEOMBA KUSEPA
π¨ Mastaa walioomba Kuondoka Simba
.
π°πͺ Joash Onyango
πΏπ² Moses Phiri
πΈπ³ Pape Sakho
Simba kupitia afisa habari wake wamesema hawana mpango wa kuwaacha wachezaji wao muhimu haimaanishi kwamba wakitaka kuondoka watazuiliwa hapana
Ila mpango wa team ni kubaki sasa hii inakuwa ipo kwenye mikono ya wachezaji zaidi kuliko team maana unaweza kumtaka mchezaji yeye asitake

Comments
Post a Comment