UZINDUZI WA IKULU MPYA YA CHAMWINO DODOMA
PICHA NA VIDEO,Muonekano wa jengo jipya la Ikulu ya chamwino Dodoma ambalo limezinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan tarehe 20may2023,
![]() |
| Picha Rais Samia akikata utepe ikulu mpya Dodoma |
Eneo la Ikulu hii lina zaidi ya hekari 8470 ambapo limezungushiwa ukuta wenye KM 27Inavosemekana kwa ukubwa wa eneo hili yawezekana kabisa kuwa hii ndio Ikulu yenye eneo kubwa duniani
Pia Raisi samia amesema kinachofuata baada ya kukamilika kwa ikulu hio ni jengo kubwa ambalo litaitwa 'Samia complex' jengo hilo litakua na uwezo wa kubeba watu zaidi ya 2000 hadi 3000 kwa ajiri ya mikutano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ,pia viwanja mbalimbali vya michezo pamoja na lounge na vyumba mbalimbali vya viongozi.


Comments
Post a Comment