UHAMISHO WAKUU WA MIKOA


      Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa wakuu wa mikoa leo may 15,2023 kama ifuatavyo;

Bw.Amos Gabriel makala amehamishiwa kua mkuu wa mkoa wa Mwanza, alikua mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,

Bw.Adam kigoma Malima amehamishiwa kua mkuu wa mkoa wa Morogoro,alikua mkuu wa mkoa wa Mwanza,

Bi,Fatma Abubakar Mwassa amehamishiwa kua mkuu wa mkoa wa Kagera ,alikua mkuu wa mkoa wa Morogoro, 

Bw, Albert John Chalamila amehamishiwa kua mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ,alikua mkuu wa mkoa wa Mwanza.




Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI