TETESI MWAMBA KUTOKA ASEC


 AUBIN KRAMO akiwa na Asec Mimosas katika Mashindano ya Kimataifa msimu huu

.

⭐️ CAFCL

🏟 4 mechi

⚽️ 3 mabao

.

🌟 CAFCC

🏟 12 mechi

⚽️ 04 mabao

.

✍️ Klabu ya Simba inaweza kumalizana muda wowote na winga huyo hatari raia wa Ivory Coast 🇨🇮

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI