🚨TAARIFA KUTOKA SIMBA

 


Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Roberto Oliveira 'Robertinho' baada ya Msimu kumalizika alipata ofa kadhaa za kuondoka nchini lakini amezigomea.


Katika ripoti yake amewaambia viongozi wa Simba anahitaji wachezaji wanaoendana ubora Kila nafasi wasipungue wawili. Yaani Chama Yuko ndani, basi benchi kuna Mtu mwenye uwezo kama wa Chama au zaidi.


Anadai kwamba Viongozi wa Simba wameahidi kumtekelezea jambo ambalo limemfurahisha kiasi Cha kusalia nchini na klabu ya Simba.


NB: Wanasimba Tegemeeni makubwa


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI