SIRI IMEFICHUKA KINACHO FANYA SIMBA IFELI
NAPATA WASI WASI MKUBWA SIMBA INAWEZA KUFANYA MADUDU MSIMU UJAO TENA @moodewji
@salim_tryagain
""kama wanasimba msipokuwa makini na uongozi huu naona kabisa Mo akifeli kuweka mambo sawa kuhusu usajili ""
Mo baada ya kuona kwamba amepigwa mda mrefu akaunda uongozi wake ufanye usajili kilichotokea hawa wanao jiita viongozi wameanza kuleta choko choko
Mashabiki wa Simba tatizo lenu hamna umoja mnafikiri kumsema kiongozi ni dhambi kwa ubaya anao fanya hii kwangu mmi naikataa viongozi lazima wasemwe ..
Kuna huyu anaitwa try AGAIN hafai kuwepo simba hadi mda huu sababu uongozi umemshinda juzi beno kaomba mkataba mpya akasema anataka mil (80 )akasema labda (50 ) majibu ya beno akasema swezi kusaini kwa bei hiyo nimepewa milioni 170 na Singida ni saini hata ungekuwa wewe ndyo beno ungefanyeje ???
Tuache hilo nilipenda heshima ya mwigulu baada ya kuona maneno yameanza kutoka alimtafta Mo akamwambia kuhusu beno kwaajili ya usalama wa kibiashara juu ya beno
Mo anasema kwanni beno hukuniambia juu ya hii issue akasema mmi nilijua kwamba kiongozi wako anaongea kupitia wewe sitaki kusema MO alijibu nni ngoja nikae kimya kwa hili
Mwisho Mo anasema ataliangalia hilo swala kama kutakuwa na ulazima wa beno kubaki atabaki kama kutakuwa na ulazima wa kuondoka basi ataondoka ina maana hadi mda huu hili Swala la kuondoka kwa mchezaji lipo kwa mikono ya MO
Huyo try AGAIN ndyo yeye aliyemleta manzoki kipindi cha uchaguzi mwenyekiti wa Simba Mangungu hana uwezo huo wakumsafirisha mnzoki from China to TZ
Try AGAIN yeye ndyo anafanya mambo kuwa magumu kwenye club yeye ndy anaye mkingia kifua Mangungu hata siri za ule uchaguzi nazijua kiundani nni kilifanyika na atokee mtu sasa ajibu hoja hizi
Manzoki nimepata taarifa kwamba anakuja kuitumikia Simba kwa sasa sijui kama ndo tulimuhitaji kwa wakati huu kwenye team
TRY AGAIN ABADILIKE ASIPO BADILIKA TUNAFELI TENA KAMA HAWEZI AWEKE DARUGA ASEPE
KUNA WATU WANAJIFANYA WANAIPENDA SIMBA HAKUNA HUO NI UONGO WANAPENDA MATUMBO YAO

Comments
Post a Comment