RIFT IMEFELI NA KUDONDOKA MILLENIUM TOWER
Makumbusho Jijini Dar es salaam, lift ya ghorofa imefeli na kudondoka Millenium Tower ikisemekana kuwa na Watu zaidi ya 10.
Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea website yetu @ETHANMEDIA na Instagram page yetu @ethanmediatz tutakuwekea taarifa kamili na updates zote mda mchache ujao.

Comments
Post a Comment