PETER BANDA NA SAKHO KUONGEZWA MKATABA

 🚨| ROBERTO OLIVEIRA UPDATES


- Robertinho ambaye ni kocha mkuu wa klabu 






Caoch amesema kuwa PETER BANDA na PAPE SAKHO wako kwenye mipango yake ya muda mrefu.


- Robertinho amesema kuwa kwenye mechi kadhaa za Simba amefurahi sana kuwatumia wachezaji muhimu ambao ni dhahiri kuwa ni FUTURE ya klabu.


- Taarifa za kuaminika ni kuwa Simba imeshaanza mazungumzo rasmi na wachezaji wake muhimu ili kuwaongezea MIKATABA ya muda mrefu, ni kwa ajili ya matakwa ya kocha.


- Certain information states that there are some important SIMBA players who have finished their contracts at the end of this season.....



Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI