NATAMANI KUCHEZA TANZANIA NCHI YENYE AMANI
Baada ya Makabi Lilepo kuulizwa kuhusu tetesi za kutakiwa na klabu ya Simba, majibu yake yalikuwa hivi
"Tanzania Ni nchi yenye amani na watu wake ni wema sana nitafurahi siku moja nikiwa pale Tanzania"
"hata soka lao kwa sasa linakuwa sana kulinganisha na soka la Afrika Magharibi na ikitokea timu yeyote inanihitaji nipo tayari kwenda kuichezea klabu hiyo"
- Maneno ya mshambuliaji wa Al Hilal ya Sudan nchi ambayo kuna vita hivi sasa hadi ligi yao imesimama

Comments
Post a Comment