🚨NABI KUSEPA YANGA




Nabi alishapewa kishika uchumba na team moja kubwa barani africa hivyo mda wowote kuanzia sasa anaweza kusepa wananchi msimtegemee tena kwa misimu mingne ijayo 



Yanga wanapaswa kuanza mpango mwingne wakutafta coach pamoja na namba 9 mwenye uwezo maana mayele naye ataondoka mwisho wa msimu huu 


Wananchi hapo vip 👀

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI