NABI ANAMALIZIA MKATABA ANASEPA

 




🚨Rumors 


Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Mohamed Nasreddine Nabi 🇹🇳 hatakua miongozi mwa benchi la Yanga ufundi la Yanga msimu ujao kwani imefahamika kuwa alisaini mkataba mmoja na timu hiyo, hivyo mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu.


Baadhi ya timu kutoka uarabuni zimemuandalia dodo nono la Usajili pamoja na mshahara hivyo itakua ngumu kwa Yanga kumbakisha.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI