METACHA APATA UJIKO YANGA
Mabosi wa Yanga baada ya kuridhishwa na uwezo wa kipa Metacha Mnata wameamua kumuongezea mkataba wa miaka miwili, lakini hatua hiyo imemtolea dirishani kipa Erick Johola aliyekuwa na siti ya kudumu benchi na jukwaani.
.
Metacha alijiunga na Yanga kwa mkopo wa miezi sita katika dirisha dogo la usajili la msimu huu akitokea Singida Big Stars (SBS) unaomalizika mwishoni mwa msimu huu.

Comments
Post a Comment