MATOLA COACH WA VIJANA

 "







Kwanza tupongeze bodi na uongozi kwa kuona hili, kwetu sisi sio jambo geni. Tulishafanya na tulifanikiwa sana. Naamini sasa tutazalisha vitu vizuri zaidi ikiwezekana zaidi ya ile ya mwanzoni. Sitawaangusha wapenzi wa Simba, tafanya wanachotaka mimi nifanye kwenye Youth Development."- Kocha Mkuu wa timu za Vijana, Selemani Matola. #WenyeNchi #NguvuMoja

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI