MANENO YA COACH WA USM ALGER 👀

 




Nina uzoefu na aina hizi za mechi kama kocha. Yanga watakuja Algeria wakiwa hawana cha kupoteza na tunatakiwa kuendelea kuwa makini. Ndiyo, tuna faida ndogo kutoka kwa mechi ya kwanza lakini najua jinsi mambo yanaweza kubadilika."


Pia aliongeza:


"Nimefurahishwa na matokeo haya mazuri. Tulicheza mchezo wa kishujaa sana na tukatekeleza mkakati wetu vyema. Ilikuwa ngumu kucheza chini ya hali ya mvua lakini wachezaji wetu walionyesha mchezo mzuri na labda tungefunga zaidi."


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI