MAJIBU YA MGUNDA BAADA YA KUTUKANWA

 

Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF.


Na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club inayotoka nje ya nchi yetu.


Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha.


Nilidhani kampeni itakuwa ni kushinda fainally , kuliko hiki alichokifanya Mwanangu Ally Kamwe.


Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri , mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.


Kama nilipaswa kutukanwa ili Yanga ishinde basi nimekubali ili Taifa langu lijivunie .


Tusiposhinda kesho nitashangaa sana kwanini tumefungwa wakati kilichotakiwa kifanywe kimefanywa juu yangu na familia yangu.


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI