LAMPARD HAJUTII
.
Kocha wa muda wa Chelsea, Frank Lampard amesema wala hajutii uamuzi wake wa kurudi kuinoa timu hiyo yenye maskani yake Stamford Bridge. Kocha Lampard ameshuhudia vichapo vitano katika mechi tano alizoiongoza Chelsea tangu aliporudi kufanya kazi kwenye kikosi hicho.
.
Usiku wa leo Jumanne timu yake itakuwa na shughuli pevu itakapokwenda kukipiga na Arsenal katika mchakamchaka wa Ligi Kuu England.

Comments
Post a Comment