IJUE HATIMA YA JOHN BOCCO MSIMBAZI

 


- Ni kweli kuwa Simba pamekuwa pagumu John Bocco kufanya vizuri msimu huu, huku taarifa zinaeleza ataendelea kusalia klabuni hapo kuelekea msimu mpya.


- Taarifa za kuaminika ni kuwa Simba itaendelea kupata huduma ya mshambuliaji wao John Bocco kuelekea msimu mpya wa 2023/24.


- Simba wapo kwenye harakati za kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wameanza kubakisha Wachezaji wake muhimu zaidi.


- CHAPTER BOCCO according to the information that reached me is that he will continue to stay with Simba towards the new season.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI