BENARD MEMBE AFARIKI DUNIA

   


 Taifa limempoteza mmoja wa Wanadiplomasia, Jasusi na Mwanasiasa mahiri Bernard Membe aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Mtama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaitaifa, katika serikali ya awamu ya nne iliyokuwa chini ya Rais Jakaya Kikwete.

Taarifa kutoka ndani ya familia zinasema taa ya Membe ilizimika ghafla asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 12; katika Hospital ya Kairuki (HK) iliyoko Mikocheni, jijini Dar es Salaam, akiwa anapatiwa matibabu, baada ya kupelekwa mapema leo kutokana na changamoto ya homa na kifua.

 Chanjo kutoka;@mwananchi digital 

Imepakiwa na;Ethanmedia @Ethanmedia 




Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI