BACCA: NINJA, FEI WALINISAIDIA .



Beki wa mabingwa wa Ligi Kuu Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad 'Bacca' (24) Anasema kwa mara ya kwanza wakati anatua kambini wachezaji ambao walikuwa wanamsaidia kumwelekeza mazingira ya timu ni Feisal Salum 'Fei Toto' na Abdallah Shaibu 'Ninja' walikuwa wanamsisitiza kutunza blandi ya Yanga popote anapokuwepo.

.

"Maisha ya timu niliyotoka na Yanga ni vitu viwili tofauti, ingawa maisha yangu hayakuwa ya kujisahau, lakini Ninja na Fei waliniambia nilinde sana blandi ya Yanga, kwani chochote nitakachokifanya watasema mchezaji wa Yanga, hivyo walinipa mwanga mkubwa pia wakinipa moyo nisikate tamaa," anasema.


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI