AZAM WAMTAKA BANDA SIMBA IMEGOMA
🚨‘WONDERKID’
- Winga Peter Banda, Taarifa za kuaminika ni kuwa hakuna taarifa za uhamisho wa Peter Banda zinazomhusisha kuachana na Simba mpaka sasa.
- Kocha Robertihno anaamini sana kipaji cha winga wake Peter Banda na anaamini pia ni future ya muda mrefu ndani ya klabu ya Simba.
- Azam Fc ilituma ofa rasmi kwa klabu yake kuhitaji kuipata saini ya Peter Banda lakini ilikataliwa na klabu ya Simba hapo awali.

Comments
Post a Comment