ALIKAMWE AOMBA MSAMAHA KWA KUMTUKANA MGUNDA
Kwa unyenyekevu mkubwa, Nichukue Fursa hii kumuomba radhi Kocha Juma Mgunda kwa kauli yangu niliyoitoa leo kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala Jijin Dar Es Salaam.
Nikiri, haikuwa kauli ya kiungwana na isiyokuwa na heshima. Nafsi yangu inanisuta, Nimemkosea sana.
Niwaombe msamaha na wote niliowakwaza kwa kauli yangu 🙏
#DaimaMbeleNyumaMwiko🔰

Comments
Post a Comment