WYDAD WATAKOSA MCHEZAJI WAO MUHIMU
Habari njema kwa Simba kwamba wapinzani wao, Wydad Casablanca watakosa huduma ya mshambuliaji wao matata, Msenegal πΈπ³ Junior Bouly ambaye ana kadi tatu za njano.
.
Kukosekana kwa Junior bila shaka ni habari njema kwa Onyango kwa sababu mshambuliaji huyo ndiye kinara wa mabao wa Wydad. Katika jumla ya mabao 6 iliyofunga katika hatua ya makundi, Junior amefunga mabao matatu peke yake.
.
Wydad ambayo inatumia mfumo wa 4-2-3-1 ni wazi kukosekana kwa Junior kutampa fursa Moutaraj nafasi ya kuanza katika mchezo wa Simba.
……………..

Comments
Post a Comment