✈️ | WYDAD KUTUA NCHINI LEO .
✈️ | WYDAD KUTUA NCHINI LEO
.
Baada ya Jumamosi mapema viongozi wa Wydad kutua Jijini Dar es Salaam wakitokea nchini Morocco, wachezaji pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo wanatarajiwa kuwasili nchini leo Jumatano tayari kwaajili ya kuikabili Simba kwenye mchezo wa hatua ya kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika utakaopingwa jumamosi saa 10:00 jioni kwa Mkapa.
.
Wydad AC watatua leo saa 5 asubuhi wakiwa na msafara wa watu 50 na watakuja na ndege ya kukodi.
…………….

Comments
Post a Comment