UDUGU WAO NI MUENDELEZO

Hawa jamaa wanatufubdisha kitu kizuri kwamba mkiwa nchi za kigeni mnapaswa kuishi kwa amani hasa mazingira ya mpira hili ni somo kwa wachezaji wetu
Kama umekuwa unaangalia game ya jana wakongo wa upande wa Simba na Yanga walikuwa na mahusiano mazuri sana na kujaliana .
Kitu kingne wanaendeleza utani pia ili kunogesha mchezo muangalie inonga baada ya kufunga anakwenda kumtania Joyce lomaslia
Comments
Post a Comment